Wednesday, 25 June 2014


Pichani mwanamke aliyevaa suluali nyekundu ni katibu wa chama cha soka mkoa wa Tanga,Beatrice Mgaya mara baada ya kuzikagua timu za Majengo yenye jezi ya bluu na Rawalipindi jezi ya njano zinazoshiriki mashindano yanayofahamika kwa jina la Dendego Cup akizikumbusha suala la nidhamu kwani kati yao sasa hivi wanaweza kusonga mbele kucheza ligi ya mkoa ni vema wadumishe nidhamu. 

No comments:

Post a Comment