Monday 28 July 2014

Benk ya NMB wakikabidhi vifaa vya michezo kwa mkuu wa mkoa wa Tanga





Wapili mwanamke aliyevaa miwani ni mkuu wa mkoa wa Tanga,Chiku Gallawa,mkono wake wa kulia ni meneja wa benk ya NMB madaraka Tanga,Juma Mpimbi mkono wa kushoto ni meneja masoko wa benk hiyo,Geofrey Mzola mara baada ya makabidhiano ya vifaa vya michezo kwa ajili ya timu shiriki mashindano ya Gallawa Cup 2014,  

No comments:

Post a Comment