Friday 1 August 2014

Mbunge wa jimbo la Tanga,Omari Nundu akifafanua jambo

Wapili katikati aliyesimama ambaye amevaa shati jeupe ni mbunge wa jimbo la Tanga Omari Nundu siku ya majumuisho ya ziara ya siku mbili ya Naibu waziri George Simbachawene mkoani hapo akitoa ufafanuzi juu ya migogoro ya mipaka na na mashamba yaliyotelekezwa.

No comments:

Post a Comment