Sunday 29 June 2014

Aliyesimama mwanaume amevaa koti la kijivu mkono wa kushoto ni mbunge wa jimbo la korogwe mji,Nasri Mohamedi akitoa maelezo juu ya madawati kwa waziri,Hawa Ghasia wa pili mkono wake wa kushoto mara baada ya kuweka jiwe la ujenzi wa madarasa matatu na madawati.

No comments:

Post a Comment