Wednesday 25 June 2014

BAADHI YA WANACHAMA WA KLABU YA COASTAL UNION WALIOHUDHULIA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2014 WAKIMSIKILIZA MWENYEKITI WAO JUU YA UTARATIBU WA WANACHAMA WAPYA KUJIUNGA NA KLABU HIYO.

Aliyesisima wa kwanza mkono wa kushoto ni mhasibu wa klabu ya Coastal Union,Kakere akiwasilisha taarifa ya mapato na matumizi kwa wanachama.

No comments:

Post a Comment