Sunday, 29 June 2014

Mkono wa kushoto aliyevaa kilemba chekundu ni mkuu wa mkoa wa Tanga,Lutten Mstaafu Chiku Gallawa akimtusha mkazi wa kijiji cha kwamndolwa ndoo ya maji mara baada ya waziri,Hawa Ghasia kufungua ujenzi wa mradi wa maji Kwasamangube korogwe mji katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo.

No comments:

Post a Comment