Wednesday, 25 June 2014

MKUTANO MKUU WA MWAKA 2014 WA KILABU YA COASTAL UNION ULIOFANYIKA KWENYE KILABU HIYO SAA 4.ASUBUHI KUJADILI MAMBO MBALIMBALI NA KUWEKA MIKAKATI.

Katika anaeongea ni katibu wa timu ya Coastal Union,Kassim El Siagi akiwaeleza wanachama kwamba kilabu ina mahitaji na wanachama wapya kujiunga.

No comments:

Post a Comment