Sunday, 29 June 2014

Pichani mkono wa kushoto mwanamke anayeongea ni afisa michezo wa mkoa wa Tanga,Digna Tesha akiwa na watumishi wa benk ya madaraka akifafanua juu ya mfumo wa mashindano ya Gallawa Cup jinsi yatakavyo fanyika.

No comments:

Post a Comment