Monday 28 July 2014

Kikao cha baraza la madiwani wa wilaya ya Muheza tarehe 27/7/2014 lilikuwa hivi.



Ni baadhi ya madiwani wa halmashauri ya muheza wakimsikiliza mkuu wa wilaya hiyo Subira Mgalu ambaye hayupo (pichani) akizungumzia suala la baadhi ya wafanyabiashara wanaowapa ajira wanafunzi na kusababisha utoro mashuleni juzi kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo. 

No comments:

Post a Comment