Monday, 7 July 2014

Picha wa pili anayeongea ni mkurugenzi msimamizi wa mikoa NHC Raimond Mndolwa juzi akimueleza eneo la hekta 100 eneo la horohoro ambazo wameomba halmashauri ya mkinga kujenga nyumba za makazi mkono wake wa kulia ni naibu waziri Simbachawene wakiwa kwenye ziara mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment