Friday 8 August 2014

 Meneja wa shirika la umeme tanesco mkoani Tanga,Johnson Mwigune akijibu malalamiko mbalimbali yaliyoelekezwa kwenye shirika hilo.
Pichani aliyesisimama ambaye ameshika kipaza sauti ni meneja ufundi Tanga (UWASA) Eng.Farles Aran akijibu maswali ya madiwani yaliyoelekezwa kwenye mamlaka mara baada ya kukaribishwa kwenye kikao maalum.

No comments:

Post a Comment