Tuesday 11 November 2014

Mratibu wa mashindano ya Malaria Cup akizungumzia lengo la mashindano yaliyodhaminiwa na PSI Tanzania

Pichani ni anaeongea mwanamke ni mkurugenzi wa ofisi ya Wakati Sports Promoter,Sophia Wakati siku ya ufunguzi wa kituo cha Segera mara baada ya kukabidhi zawadi akitoa elimu juu ya ugonjwa wa malaria wengini wacheza,mashabiki na wageni waliohudhulia ufunguzi huo.

No comments:

Post a Comment