Tuesday, 6 January 2015

Mkuu wa mkoa wa tanga akiwapongeza washindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa

Mkuu wa mkoa wa Tanga,Said Magalula amesema uchaguzi wa serikali za mitaa umekwisha ambapo amewataka waliochaguliwa kushika madaraka kkuwajibika kwa kuwahudumia wananchi walio wachagua akizungumza na waandishi wa habari wa mkoa huo ofisini kwake.

No comments:

Post a Comment