Saturday, 22 August 2015

ZOEZI LA KUCHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA CHUMBAGENI,

 Pichani mkono wa kushoto ni msimamizi wa uchaguzi kata ya Chumbageni,Samwel Ndauka akitoa maelekezo kwa mgombea wa kiti cha udiwani kupitia (CCM)Saida Gadafi kabla ya kumkabidhi.
 Samweli akitoa maelekezo kwa mgombea wa CCM kiti cha udiwani ofisi ya kata ya Chumbageni,
 Msimamizi msaidizi wa uchaguzi,Samweli Ndauka akimkabidhi mgombea wa CCM fomu Saida Gadafi,

Ni zoezi la kuchukua fomu za udiwani mgombea wa CCM,Saida akiwa na wapambe wake ambao walimsindikiza.

No comments:

Post a Comment