Sunday, 18 October 2015

UZINDUZI WA DAWATI LA ELIMU YA WATU WAZIMA MUHEZA ILIKUWA HIVI,,

 Pichani katikati aliyesimama ni katibu tawala wilaya ya muheza,Moshi aliyemwakilisha mkuu wa wilaya hiyo,Esterina Kilasi.

 Pichani ni viongozi na mratibu wa shughuli hiyo ya uzinduzi wa dawati la elimu ya watu wazima wakiwa meza kuu siku ya hafla hiy.

 Pichani ni mratibu wa Uzinduzi wa dawati la elimu ya watu wazima na kaimu afisa elimu msingi wilaya ya muheza katika kuikaribisha siku ya elimu ya watu wazima dunia mwaka 2015.
 Pichani ni Afisa maendeleo ya vijana wilayani muheza,Issa Msumari akiwasilisha mada inayohusu uchaguzi siku ya Uzinduzi wa dawati la elimu ya watu wazima wilayani hapo.
 Pichani ni MC wa shughuli ya Uzinduzi wa dawati la elimu ya watu wazima wilayani muheza,Stuwati Kuziwa akitowa muongozo wa shughuli hiyo kwa viongozi huska wa meza kuu,

Pichani ni watumishi,wakuu wa idara mbalimbali wa halmashauri ya muheza wakiwa ukumbi wa ofisi ya chama cha walimu wilayani muheza wakisikili mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa siku ya Uzinduzi wa dawati la elimu ya watu wazima 2015.

No comments:

Post a Comment