Pichani ambao wamevaa jezi ya njano ni timu ya Madongo FC kabla ya kushuka dimbani wakiwa kwenyepicha ya pamoja katika uwanja wa soka wa shule ya msingi majani mapana jijini Tanga.
Timu ya soka Mabawa wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kushuka dimbani kumenyana na Madongo Fc mchezo wa nusu fainali ya pili.
Wachezaji wa timu ya Mabawa Fc na Madongo Fc wakisalimiana kabla ya kuanza pambano la ya CHRISC 2016,lilifanyika uwanja wa majani mapana jijini Tanga.
Baadhi ya wachezaji wa majengo wakipasa kujiandaa na mchezo wa fainal.
Mchezaji wa timu ya vijana Majengo Fc akipokea zawadi ya seti moja jezi zawadi baada ya kuibuka bingwa wa mwaka 2016,michuano ya CHRISC. kwa kushinda magoliu2-0.
Kingozi wa mashindano ya CHRISC,Victor Stanslaus akimkabizi zawadi ya mpira mmoja mchezaji wa timu ya Madongo Fc baada ya timu yao kushika nafasi ya pili katika mashindano hao.
Pichani ni kocha wa timu ya Vijana Majengo,Twalib Hemed Kidiwa akionyesha mashabiki wa timu hiyo jezi ikiwa ni zawadi ya ushindi.
Pichani ni miongoni vya viongozi wakitua nasaha kwa wachezaji kabla ya kumalizika kwa mashindano hayo.
Kiongozi kutoka CHRISC,Victor akitoa maelezo machache na kuwashukuru washiriki na viongozi wa timu hizo jinsi walivyoweza kuzingatia nizamu katika mashindano hayo na kufikia malengo yaliyotarajiwa mpaka kufikia tamati.
No comments:
Post a Comment