Picha mkono wa kulia ni Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Korogwe Mjini,Thobias Nungu akiwataka Wananchi kupiga kura nyingi za heshima kwa mgombea Urais Dk. Samia Suluhu Hassa,madiwani huku akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Korogwe Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Charles Njama (kushoto ambaye anawasalimia wananch) hafla iliyofanyika katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika uwanya wa Manundu sokoni uliopo wilayani hapo.
Pichani ni Katibu wa Chama cha Mapinduzu CCM jimbo la Korogwe mjini,Evarts Mluge akiwahutubia wananchi wa Korogwe akiwanadi mgombea Urais Dk. Samia Suluhu Hassan Mbunge na madiwani.
Pichani ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi wilaya ya Korogwe mjini,Mujibu Wandi,akiwataka wananchi kuchagua wagombea wa chama cha mapinduzi ili kuendelea kuleta maendeleo.
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Korogwe Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Charles Njama akiomba wananchi kupiga kura nyingi kwa wagombea wa Chama tawala huku akiahidi kwamba kwa kufanya hivyo kutatoa fursa uwepo wa Korogwe ya Viwanda.
Pichani juu ya bajaji ni MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Korogwe Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Charles Njama akiwasili katika uwanja wa Manundu sokoni hafla ya uzinduzi kuwanadi wagombea wa Chama tawala .
No comments:
Post a Comment