Wednesday, 25 June 2014

BANDA LA HALMASHAURI YA HANDENI KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JINSI LILIVYOKUWA KIVUTIO KWA WATEJA

Banda ambalo lilisheheni madawa yanayotibu maradhi mbalimbali ambayo yametengenezwa kwa kutumia asali.likiwa kwenye uwanja wa tangamano yalikofanyika maonyesho hayo jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment