Wednesday, 25 June 2014

KATIBU MWENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA,LUPAKISYO KAPANGE AKIWA KWENYE MOJA YA MIKUTANO YAKE

Pichani ni katibu mwenyezi wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Tanga,Kapange akiwa ametumia kupanda juu ya meza akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko la makorora jijini hapo huku mvua ikiwa inanyesha ambayo imechukuliwa na CUF akiwahutubia wananchi kwamba wasikubali kudanganyika na watu watakaopita kwa lengo la kutaka uongozi. 

No comments:

Post a Comment