Sunday, 29 June 2014

BENK YA NMB MADARAKA IKIKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA MKUU WA MKOA WA TANGA.

Wapili mkono wa kulia mwanamke ni mkuu wa mkoa wa Tanga,Lutten Mstaafu Chiku Gallawa,mkono wake wa kushoto ni meneja masoko wa madaraka,Geoge Mzola,kulia ni meneja wa benk ya madaraka Tanga,Juma Mpimbi,aliyevaa shati la kitenge ni katibu tawala wa mkoa huo,Salum Chima katika zoezi la kukabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya mashindano ya Gallawa Cup 2014.

No comments:

Post a Comment