Pichani wa kwanza mkono wa kulia aliyevaa suti nyeusi ni mkuu wa msafara Mwenyekiti wa halmashauri ya kondoa na mjumbe wa kamati tendaji Alat Taifa,Mwenda Abdallah akitoa ushauri kwa Kamishna wa idara ya Uhamiaji Horohoro,Thabit Pandu ambae amevaa shati jeupe mkono wa kulia.
No comments:
Post a Comment