Wednesday 25 June 2014

KATIBU WA CHAMA CHA SOKA WLAYA YA TANGA SALIM CARLOS KIELEZEA MABORESHO YALIYOFANYIKA NA MIKAKATI ILIYOFIKIWA MWAKA 2012

Katibu msaidizi wa chama cha soka wilaya ya Tanga,Salim Carlos akizungumzia mafanikio yaliyofikiwa na chama hicho ikiwemo mkakati wao wa kusaka wadhamini kutoa sapoti kwa vilabu vya soka ambapo amesema limeanza kutekelezwa na kutoa shukurani kwa mkuu wa wilaya hiyo Halima Dendego ambaye ni mdhamini wa kwanza katika chama hicho.

No comments:

Post a Comment