Wednesday 25 June 2014


Pichani katikati mwanamke aliyevaa fulana nyeusi ni mgeni rasmi katibu wa chama cha soka mkoa wa Tanga(TFF)Beatrice Mgaya akiikagua timu ya soka ya Rawalipindi inayoshiriki mashindano yaliyodhaminiwa mkuu wa wilaya hiyo Dendego Cup,akisindikizwa na katibu msaidizi mkono wa kulia Carlos katika uwanja wa mkwakwani.

No comments:

Post a Comment