Wednesday, 25 June 2014

Katikati ni katibu mkuu wa TFF,mkoa wa Tanga Beatrice Mgaya akiikagua timu ya Majengo katika mchezo wao wa michuano ya Dendego Cup ambapo walitoka sare ya kufungana 2-2,dhidi ya wapinzani wao Rawalipindi ya mabawa jijini Tanga,akiwa.

No comments:

Post a Comment