Monday 16 June 2014

MKUTANO WA WADAU WAKISHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KWA LENGO LA KUTHIBI WIMBI LA UHALIFU UNAOENDELEA NDANI YA MKOA WA TANGA.




Wadau wakiwa katika kikao cha pamoja  kwa lengo la kuthibiti  wimbi la uhalifu unaojitokeza ambapo walitoa ushauri mbalimbali kwenye jeshi la polisi kushirikiana na kuimarisha ulinzi.


Kamanda  wa polisi mkoani Tanga  Costantine Massawe akifungua mkutano wa pamoja na wadau wa mkoa  huo kwa lengo la kupanga mikakati ya kuthibiti  wimbi la wizi  na kuweka mkoa katika hali ya ulinzi na usalama.



Jeshi la polisi mkoani   Tanga  limekamata fedha kiasi cha shilingi million nane na laki sita  zilizokuwa  zikitolewa na waliofanya uhalifu kama  rushwa  kwa kuwapa maaskari kwa lengo la kuachiwa.


No comments:

Post a Comment