Wednesday, 25 June 2014

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA WAKIONYESHA VYETI VYA USHINDI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA MWAKA 2014

Pichani ni baadhi ya watumishi wa halmashauri ya jiji la Tanga wakionyesha vyeti vya ushindi mara baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi mkuu wilaya ya hiyo baada ya banda lao kuibuka bora kutangaza uwekezaji.

No comments:

Post a Comment