ZIARA YA WIKI YA SERIKALI ZA MITAA VIONGOZI KUTEMBELEA MIRANI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA MKINGA.
Katika mwanamke aliyevaa nguo za kijani ni mkurugenzi wa halmashauri ya mkinga Amina Kiwanuka akiwakaribisha viongozi siku ya wiki ya serikali za mitaa mara kuwasili katika ofisi eneo la kasera mkinga iliopo mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment