Thursday 3 July 2014

KIJANA WA KABILA LA KIMASAI MARA BAADA YA KUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 4 JELA.

Mkono wa kushoto mwenye sare ya polisi ni CPL Haward akimsindikiza kijana wa kabila la kimasai,Baraka Saico aliyevaa shati la bluu mara baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 4 jela kwa kupatikana na hatia katika kesi ya kuhujumu uchumi kukutwa na ngozi ya chui katika stendi ya daradara za kange hukumu hiyo imetolewa na hakimu,Maira Kasonde mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Tanga.

No comments:

Post a Comment