Monday 7 July 2014

Pichani ni baadhi ya wanakijiji cha kwangena wilaya ya mkinga mkoa wa tanga wakiwa wamekaa chini wakimsikiza juu ya mgogoro wao na mwekezaji naibu waziri George Simbachawene ambaye hayupo pichani.

No comments:

Post a Comment