Sunday 19 October 2014

AFISA MICHEZO WA HALMASHAURI YA KILINDI AKIZUNGUMZIA MIKAKATI YA KUSAKA TIMU ZA SOKA ZILIZO SAJILIWA ,

Afisa michezo wa Kilindi,Beno Eugene amesema lengo la kuanzisha ligi ya Ushirika Cup Kilindi ni kupata timu 50 za soka zilizo sajiliwa kuweza kushiriki ligi ya taifa ngazi ya wilaya hiyo.

No comments:

Post a Comment