Hii ni timu ya Polisi Fc iliyocheza na timu ya Dogodogo na kufungwa goli 4-3 kwa njia ya penati ,sasa imeondolewa na kusubiri zawadi ya mpira mmoja. |
Ofisa michezo wa halmashauri ya wilaya ya Kilindi Beno Haule akikagua timu ya Dogodogo katika uwanja wa Mabombwe tayari mwa mchuano. |
Sophia Wakati akimkabidhi ofisa michezo wa halmashauri ya wilaya ya Handeni jezi na mipira kwa timu nane zitakazoshiriki . |
Makabidhiano ya zawadi za jezi na mipira yalifanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo na kuwakutanisha viongozi wa timu shiriki kushuhudia |
Mjumbe wa kamati tendaji aliyevaa suti nyeusi Mbaruku Mangole akijitambulisha kwa viongozi wa vilabu ambao hawapo pichani . |
ukaguzi wa timu ukiendelea baada ya ofisa wa michezo Beno Haule kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano hayo. |
Timu ya Polisi Fc ikiwa pamoja na viongozi wa wilaya. |
Mbaruku Mangole ambaye ni mjumbe wa kamati tendaji chama cha mpira wa miguu wilaya ya Kilindi (KDFA) akiwa mmoja wa mashuhuda wa zawadi zinazokabidhiwa kutoka ofisi ya Wakati Sports Promoter. |
Viongozi wa vilabu vya mpira wa miguu wilayani Kilindi wakisikiliza maelezo yanayotolewa na katibu wa chama cha mpira wilayani Kilindi Omary Javu ambaye hayupo pichani. |
Ukaguzi wa timu ukiendelea tayari kwa kuingia uwanjani. |
Timu zimeonyesha shauku ya kucheza kwa bidii na nidhamu ya hali ya juu huku wakifurahia mashindano ya ligi ya Malaria Cup. |
Sophia Wakati akiwa meza kuu kabla ya kuwakabidi viongozi wa michezo wa halmashauri ya wilaya ya Kilindi zawadi za jezi na mipira. |
Mashabiki wakiwa nje ya uwanja wakiangalia timu zinavyocheza uwanjani. |
Uongozi kutoka ofisi ya Wakati Sports Promoter na viongozi wa michezo wilaya ya Kilindi. |
Viongozi wakipongezana kwa kupokea jezi na mipira. |
Viongozi wa michezo wilaya ya Kilindi wakiangalia zawadi kwaajili . |
No comments:
Post a Comment