Friday 24 October 2014

 Ifahamu shule ya secondari Macechu iliyokp jijini tanga ambayo ina kidato cha kwanza mpaka sita na mabweni.

 Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo ya secondari Macechu.
 Mkuu wa wilaya akiwasili katika shule ya Macechu huku akipata maelezo kutoka kwa mfadhili wa kompyuta 20.
 Mwalimu mkuu wa shule ya Macechu secondari.Mzee.
 Viongozi wa shule ya secondari Macechu.
 Siku ya hafla ya kukabidhi kompyutar 20,mdhamini akiwa na afisa habari wake akizungumza lengo la kutoa msaada huo kwa shule ya sekondar Macechu jijini Tanga.
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego akizindua mradi wa kompyutar 20 za msaada.
 Kati kati mwanamke ambae anaongea ni mkuu wa wilaya ya tanga,Halima Dendego mgeni rasmi katika makabidhiano ya kompyutar 20,msaada kutoka Korea.
 Wanafunzi wakionyesha maigizo.
 Baadhi ya wanafunzi wakisoma shairi.

 Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye chumba cha kompyta msaada kutoka Korea.
 Kikundi cha burudani cha wanafunzi wa shule ya Macechu.
M
Mwalimu mkuu wa shule ya macechu secondar,Mzee iliyopo jijini tanga akizungumzia mikakati iliyopo shuleni hapo.

No comments:

Post a Comment