Friday 24 October 2014

Ufunguzi wa mashindano ya mpira wa miguu Mwidau Cup,mgeni rasmi Mbunge,Zitto akiwa na mdhamini wa mashindano hayo Amina Mwidau.

Mashaqbiki waliojitokeza kushuhudia pambano la ufunguzi wa ligi ya Mwidau Cup uwanja wa kumba wilayani Pangani.

No comments:

Post a Comment