Tuesday 11 November 2014

Askari wa kituo cha polisi korogwe wakishusha viroba vya mirungi ofisi ya polisi mkoa

Kamanda wa polisi mkoa wa Tanga,Frasser Kashai akiangalia akiwaonyesha waandishi wa habari wa mkoa huo (hawapo pichani)viroba vinne vya mirungi vilivyokamatwa katika kizuizi cha polisi eneo la hote ya Liverpool mombo wilayani korogwe.

No comments:

Post a Comment