Tuesday 11 November 2014

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TANGA ATOA WITO KWA WAFANYABIASHARA

 Picha mkono wa kulia aliyevaa sare ya polisi ni kamanda wa polisi mkoa wa Tanga.Frasser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari madawa ya kulevya aina ya mirungi yaliyokamatwa kwenye gari la abiria katika kizuizi cha polisi eneo la hotel ya Liverpool mombo wilayani korogwe.
Picha ni kamanda wa polisi Tanga,Kashai akiwa akitoa baadhi ya mirungi iliyohifadhiwa ndani ya viroba kwa ajili ya kuwaonyesha waandishi wa habari akiwa na kaimu kamanda Juma Ndaki na askari wa kituo cha polisi korogwe (katika ambaye ni dereva)Hamisi Chamboga na Hery Ally wa kitengo cha upelelezi mara baada ya kuwasili ofisi za mkoa. 

No comments:

Post a Comment