Saturday 20 December 2014

FAINAL YA MASHINDANO YA KOMBE LA KAMANDA"KASHAI CUP 2014"

 Aliyevaa tracksuti ya njano mkono wa kulia ni kamanda wa polisi mkoa wa Tanga,Frasser Kashai akimkabizi kapteni wa timu ya Lusanga Star mshindi wa pili katika fainal ya kuwania kombe la kamanda.
 Mkono wa kulia aliyevaa traksuti ya njano ni mgeni rasmi kamanda wa polisi mkoa wa Tanga,Frasser Kashai akimkabidhi kapteni wa timu ya FFU yenye maskani yake majani mapana kambi ya polisi kiombe na jezi baada ya kuwa mshindi wa kwanza fainal ya Kashai Cup 2014.baada ya kuifunga Lusanga Star kwa magoli 3-1 mchezo wa fainal hiyo.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya FFU inayoundwa na polisi wa kikosi cha FFU majani mapana wakishangiria na kikombe mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya kikombe na jezi katika mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment