Tuesday 2 December 2014

Ufunguzi wa mashindano ya SHIMMUTA Tanga

 Aliyesimama ambaye ameshika kipaza sauti ni mkuu wa wilaya ya Muheza,Subira Mgalu akikemia mamluki katika mashindano ya Shimmuta siku ya ufunguzi uliofanyika uwanja wa soka Mkwakwani mkoani Tanga.
Miongoni mwa timu shiriki katika mashindano ha ya wafanyakazi mwaka 2014.

No comments:

Post a Comment