Pichani ni raia 14 waEthiopia wakiwa ofisi ya Idara ya Uhamiaji mkoani Tanga mara baada ya kumaliza kifungo cha miezi miwili gereza la maweni kwa kupatikana na hatia kosa moja la kuingia nchi kinyume na sheria hukumu iliyotolewa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Tanga wakisubiri kurudishwa makwao na idara hiyo ya Uhamiaji.
No comments:
Post a Comment