Pichani katikati ni kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Tanga,Juma Ndaki akisoma taarifa ya bidhaa mbalimbali za uhalifu zilizokamatwa na askari polisi wilayani korogwe mkoani Tanga,mkono wake wa kulia ni mkuu wa kituo cha polisi korogwe,Innocent Feksi aliyevaa shati jeupe na kushoto kwake nidereva wa pilisi korogwe Hamis Chamboga aliyevaa sare.
Mkono wa kushoto aliyevaa shati jeupe ni mkuu wa kituo cha polisi Korogwe,Innocent Feksi akiwasimamia askari wake kushusha bidhaa mbalimbali za uhalifu ikiwemo miripuko ya mabomu iliyokamatwa wilayani korogwe katika doria za kawadia.
Pichani ni mkuu wa kituo cha polisi korogwe,Innocent Feksi na askari wake mara baada ya kushusha viroba 18 vya mirungi nje ya ofisi ya kamanda wa polisi mkoa wa tanga mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutoa taarifa kwa waandishi wa habari mkoani hapo.
Pichani anayeongea aliyevaa sare wa kwanza mkono wa kushoto ni kaimu kamanda mkoa wa Tanga,Juma Ndaki akiwaonyesha waandishi wa habari baadhi ya miripuko iliyokamatwa na askari katika doria korogwe kwenye basi la abiria ikisafirishwa kuelekea jijini Dar es alaam.
Baadhi ya miripuko ikiwa ofisi ya kamanda wa polisi mkoa wa Tanga .
Pichani ni dereva wa gari la polisi wilayani korogwe mkoani Tanga,Hamis Chamboga akijifuta jasho mara baada ya kushusha magunia ya vitunguu ambayo katikati yalihifadhiwa bangi ambayo ilikuwa zikisafirishwa kwenye gari la abiria aina ya Coaster huku mhalifu aliikimbia mara baada ya kukamatwa,ilibainika baada askari kuchana na kukagua.
No comments:
Post a Comment