Picha mkono wa kulia aliyevaa fulana ya mistari ni mbunge wa jimbo la Tanga,Omari Nundu akiikagua timu ya Bima ya Afya siku ya bonanza la wafanyakazi lililofanyika uwanja wa popatlaly mkoani Tanga.
Katika ni mbunge akiikagua timu ya soka ya waandishi wa habari mkoani Tanga mkono wa kushoto ni kiongozi wa timu hiyo Salim Omari mtangazaji wa redio Nuur iliyopo jijini Tanga.
Mbunge Nundu akiikagua timu ya soka ya Idara ya Uhamiaji siku ya bonanza la wafanyakazi.
Picha mkono wa kulia anayeongea ni mbunge Nundu alipokuwa mgeni rasmi kwenye bonanza la wafanyakazi mkoani Tanga akizungumza na timu shiriki akihimiza kuendeleza michezo sehemu ya kazi kwani wanajenga urafiki na mtandao wa kufanya kazi.
Mbunge Nundu akiikagua timu ya Sheria siku ya bonanza.
No comments:
Post a Comment