Tuesday, 10 March 2015

TANGA UWASA YAUNDA KIKOSI CHA SOKA KUMENYANA NA TIMU ZA VIJIJI.

 Pichani kati kati ni mkurugenzi wa mamlaka ya maji Tanga,Jeshua Mgeyekwa alipokuwa mgeni rasmi akiikagua timu ya Kisimatui Fc iliyopima msuli na Uwasa Fc ya Tanga Uwasa.
Pichani ni kikosi cha Tanga Uwasa Fc kinacho undwa na wafanyakazi wa mamlaka ya maji Tanga wakiwa kwenye picha ya pamoja ambacho kiliifunga Kisimatui Fc magoli 2-0,mchezo wa kirafiki wa kujenga ushirikiano na mtandao wa kuwabaini wahujumu wa miundombinu kwenye vyanzo vya maji.

No comments:

Post a Comment