Watuhumiwa 9 wa kesi ya kumjeruhi askari polisi kwa kumchoma kisu na kuiiba silaya kutokomea nayo na watuhumiwa watatu wa kesi ya maujia ya Sajenti Kajembe jeshi Pande mkoani Tanga yaliyotokea Amboni kwenye mapango ambayo yalikuwa hayatumiki wakiwa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Tanga wakisubiri kusomewa kesi zao.
Pichani ni askari wa kitengo cha upelelezi mkoani Tanga wakiwa nje ya mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa tanga wakiwapeleka watuhumiwa gereza la maweni mara baada ya kusomewa kesi zao ile ya mauaji na kupora silaha ya jeshi la polisi Tanzania.
No comments:
Post a Comment