Thursday, 19 February 2015

Mbunge wa jimbo la tanga,Omari Nundu akiwa kwenye moja ya mikutano yake,

Katikati aliyesimama anayeongea kwa ishara ni mbungu wa jimbo la Tanga,Omari Nundu akiwa kwenye mkutano wake wa kwan za wa kutembelea kata zake kuangalia yale ambayo wamekubaliana kama yametekelezwa uliofanyika eneo la Uhuru park chumbageni.

 Mbunge wa jimbo la Tanga,Nundu akiwataka wananchi katika uchaguzi ujao kuhakikisha wanawachagua madiwani wenye uzalendo na tanga.
Nundu amesema atahakikisha fedha za vijana na kimama zilizotolewa na Rais kupitia halmashauri zinarejeshwa.

Katikati aliyevaa sare ya CCM ni mbunge Omari Nundu akifuatialia vikundi vya burudani huku mkono wa kushoto ambaye amevaa shati jeupe ni diwani wa kata hiyo ya Central Hald Abdallah.  

Mbunge Nundu na viongozi wengine wakifurahia vikundi vya burudani.

No comments:

Post a Comment