Monday, 31 August 2015

UZINDUZI WA KAMPENI YA MGOMEA UBUNGE WA CCM ILIKUWA HIVI,

 Mkono wa kulia katikati ni mgombea ubunge wa CCM Omari Nundu akiwasili uwanja wa tangamano.
 Wagombea udiwani wa jimbo la tanga kupitia CCM
 Wagombea udiwani wakijitambulisha kwa wananchi,
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa tanga Henry Shekifu akiwanadi wagombea.
 Kikundi cha ngoma ya msanja
 Viongozi wa kata
 Mgombea ubunge kupitia CCM Omari Nundu akieleza vipaumbele vyake,


Wanachama wa CCMwakiwasikiliza wagombea

No comments:

Post a Comment