Wananchi wa maweni wakisikiliza hoja za wagombea kupitia chama cha CCM walipopita kuomba ridhaa,
Wananchi wa Mwarongo wakiwa wamekaa chini wakimsikiliza mgombea,Omari Nundu aliyesimama akijieleza huku akiwaomba wampe nafasi nyingine ya ubunge.
Pichani ni mgombea ubunge,Kassim Mbuguni akijieleza kwa wananchi wa mwarongo.
Mgombea Kassim Makuberi akijieleza kwa wananchi ili wampe ridhaa.
Wagombea sita wakiwa kwenye picha ya pamoja ili wananchi wawafahamu.
Aliyekuwa meya wa jiji la Tanga,Kisauji akijieleza kwa wananchi.
Meja mstaafu,Mkoba akijieleza kwa wananchi wa mwarongo.
Mgombea mwalimu,Athuman Barhan akijieleza kwa wananchi wa mwarongo na kuomba ridhaa,
Wananchi wengine wakiwa wametumia kukaa chini wakisikiliza hoja za wagombea,
Wagombea sita kupitia CCM waliojitokeza kuwania kiti cha ubunge wakiwa kwenye picha ya pamoja,
No comments:
Post a Comment