Tuesday, 22 September 2015

watoa huduma katika vituo vya afya wapatiwa mafunzo,,,

 picha anaeongea ni athumani rehani juzi kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa tanga akiwataka watoa huduma katika vituo vya afya vya mkoani tanga kuongeza ufanisi wa kazi ili mfuko uweze kufikia malengo yake kwa haraka.
 pichani ni meneja wa mfuko wa bima ya afya (nhif) mkoani tanga,ally mwakababu akiwaeleza watoa huduma katika vituo vya afya lengo la mafunzo ni kuwaandikisha wakina mama wajawazito kwa kutumia simu ya kiganjani.
 pichani mwanamke ambaye amesimama ameshika karatasi ni mwakilishi kutoka shirika la kfw la ujerumani,wanda welker juzi kwenye mafunzo akiwasomea watoa huduma katika vituo vya afya namba itakayo tumika kuwasajili kina mama wajawazito.

 pichani ni hudumu katika vituo vya afya mkoani tanga wakiwa kwenye mafunzo wakiwasikiliza wawezeshaji katika ukumbi ofisi ya mkuu wa mkoa huo.
pichani ni wawezeshaji na watoa huduma katika vituo vya afya wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment