Picha mkono wa kushoto ni mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Kwakaeza jijini Tanga,Ally Martin akimnyoa mmoja wa wazee Rashid Yahya (77) ambaye anaishi kwenye kambi ya wazee Majengo.
Picha mkono wa kulia ni mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi
Kwakaeza jijini Tanga,Ally Martin akimnyoa mmoja wa wazee Rashid Yahya
(77) ambaye anaishi kwenye kambi ya wazee Majengo.
Pichani ni baadhi ya wanafunzi wakimsaidia mama anayeishi kwenye kambi ya wazee kuelekea kwenye ukumbi ili waweze kushiriki pamoja kupata chakula cha mchana.
Picha mkono wa kulia ni mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi
Kwakaeza jijini Tanga,Ally Martin mara baada ya kumnyoa mmoja wa wazee Rashid Yahya
(77) ambaye anaishi kwenye kambi ya wazee Majengo na kumpatia zawadi ya suruali akipiga picha ya kumbukumbu.

Pichani ni baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Donge na Kwaeza wakishirikiana na wazee kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo usafi wa mazingira katika kambi ya wazee Majengo jijini Tanga.
Baadhi ya wazee wakiwa kwenye ukumbi wa kambi hiyo wakipata chakula na wanafunzi.
Pichani ni baadhi ya wanafunzi wakiwapatia wazee vyakula mbalimbali katika ukumbi wa kambi hiyo ya wazee.
Pichani ni baadhi ya wanafunzi wakiwapatia wazee vyakula mbalimbali katika ukumbi wa kambi hiyo ya wazee.
Pichani ni baadhi ya wazee wakipata chakula na wanafunzi.
Pichani mwanaume ambaye amesimama ni miongoni mwa walimu na mratibu wa shule ya msingi Kwakaeza,Victar akizungumzia lengo la ziara hiyo kwa wanafunzi hao kwenye kambi ya wazee.
Mwalimu,Victar alisema ziara hiyo ni endelevu ilianza kufanyika tangu mwaka 2007 kwa wanafunzi kutembelea kambi hiyo kwa ushirikiano wa CHRISC kwa kujitolea kufanya shughuli mbalimbali,kutoa msaada,kuonyesha burudani ikiwemo kuonyesha vipaji vya sanaa.
Amesema lengo kubwa ni wanafunzi kuwajengea moyo wa huruma kwa wazazi ikiwemo wazee kwenye jamii na kuwajali kwa kujitolea kuwasaidia pindi wanapowaona wazee.
Pichani ni baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye ukumbi wa kambi ya wazee Majengo mara baada ya kufanya usafi wa mazingira wakipata chakula na wazee.
Picha ambaye amesisimama ni mmoja wa wanafunzi mara baada ya kupata chakula akionyesha kipaji cha maigizo kwenye ukumbi wa kambi ya wazee.
Pichani mwanamke ambaye amesimama ni mkurugezi wa kampuni ya WAKATI SPORTS PROMOTER akizungumza na wanafunzi hao kuibua na kuendeleza vipaji vyao kuanzia chini ili waweze kunufaika navyo baadae.
Wakati aliwataka wanafunzi hao kusoma kwa bidii na wasikubali kurubuniwa kwa elimu ndio mhimili wa maisha na kutenga muda kwa ajili ya kuibua vipaji vyao.
No comments:
Post a Comment