Sunday 28 August 2016

DC Korogwe akishirikia na wabunge,watumishi na wananchi kutekeleza miradi ya maendeleo..

 Pichani wa nne mkono wa kulia ambaye amevaa miwani na koti mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhandisi Robart Gabriel akiwa na wabunge wa jimbo la Korogwe mji na Korogwe vijijini na watumishi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa CCM ambaye amevaa sare ya chama tawala wakifanya harambee ya kuchangia mabweni ya shule ya sekondari Semkiwa.
 Pichani mkono wa kwanza mkono wa kushoto ambaye koti la njano ni DC wa wilaya ya Korogwe Mhandisi Robart akiongoza ujenzi wa mradi wa bweni shule ya sekondari semkiwa wilayani Korogwe.
Pichani mkono wa kwanza mkono wa kushoto ambaye koti la njano ni DC wa wilaya ya Korogwe Mhandisi Robart akiongoza ujenzi wa mradi wa bweni shule ya sekondari semkiwa wilayani Korogwe.

No comments:

Post a Comment