Saturday 20 August 2016

MWENYEKITI WA CHAMA CHA SOKA TANGA AKIFUNGUA MASHINDANO YA VIJANA MIAKA 17,

 Mkono wa kushoto wa kwanza ambaye ameshika mpira ni mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Tanga,Said Soud juzi akifungua mashindano ya vijana chini ya miaka 17 katika uwanja wa mkwakwani jijini hapo.
Said Soud akiwataka vijana kuhakikisha wanayatumia mashindano hayo kujijenga kisoka na kuzingatia nidhamu,ili waweze kufika mbali kupitia mchezo huo wa soka.

Msicheze mpira kwa kuweka maslahi mbele onyesheni vipaji vyenu mtaweza kunufaika na soka,hata kina Samata wamejituma ndio wameweza kuona matunda ya soka.

No comments:

Post a Comment