Saturday 20 August 2016

ZOEZI LA KUCHANGIA DAMU ASKARI WA KIKOSI CHA ZIMAMOTO TANGA ILIKUWA HIVI,

 Kiongozi wa kikosi cha zimamoto mkoani tanga juzi akizungumza na waandishi wa habari lengo la kuchangia damu katika hospitali ya mkoa wa tanga,amesema ili kuweza kunusuru vifo vya kina mama na watoto wanapopata majanga.

 Askari wa kikosi cha zimamoto wakiwa hospitali ya bombo kwenye foleni kusubiri kuchangia damu,wa kwanza mkono wa kulia ni dokta mataalam wa maabara akitoa utaratibu kabla ya kuchangia damu.





Baadhi ya askari wa kikosi cha zimamoto wakisubiri kuchangia damu.

No comments:

Post a Comment